π§π»♀️Yai + Mafuta ya mzeituni (Olive oil)
π§π»♀️Kiini cha yai + Mafuta ya mzeituni (Olive oil)
-Mayai mawili + kijiko cha chai cha mafuta
πHutibu nywele kuwa kavu sana/Hulainisha nywele
π§π»♀️Ute wa Yai + Jelly ya Aloevera
-Mayai mawili + vijiko viwili vya aloevera
-Hii inachochea ukuaji wa nywele
π§π»♀️Yai zima + Mafuta ya nazi (coconut oil)
-Yai moja + kijiko kimoja cha mafuta ya nazi
-Husaidia katika ukuaji wa nywele
π§π»♀️Yai + Ndizi
-Yai moja + ndizi moja iliyoiva vizuri + kijiko kimoja cha mafuta ya mzeituni
-Husaidia katika ukuaji wa nywele na pia ndizi ni muhimu katika kupambana na ukavu wa nywele.
π§π»♀️Yai + Parachichi
-Parachichi nusu + kiini cha yai moja
-Husaidia katika ukuaji wa nywele na kujaza nywele
π§π»♀️Yai + Mafuta ya Mnyonyo (Castor oil)
-Mayai mawili mazima + kijiko kimoja cha chai mafuta ya mnyonyo
-Husaidia katika ukuaji wa nywele

0 Comments