Natural Bliss

99. FAIDA ZA PARACHICHI KATIKA NYWELE

 


🧚🏻‍♀️Husaidia nywele kuwa nyevu wakati wote pia zenye muonekano mzuri, pia zitakua laini wakati wa kuchana


🧚🏻‍♀️Parachichi kina potasium na amino acids za kutosha, hivyo husaidia kukuza nywele haraka sana


🧚🏻‍♀️Kuwa na mba sana kichwani inamaana ngozi yako ya kichwa haina mafuta yani ikavu so parachichi husaidia kuongeza mafuta kwenye ngozi yako ya kichwa.



🧚🏻‍♀️Pia parachichi husaidia kufufua na kukuza nywele zilizodhoofu na kukatika sana.



UNAWEZA KUTUMIA PARACHICHI KAMA;


🥰DEEP CONDITIONER

Aina hii unaweza fanya kila wiki au kila baada ya wiki mbili kulingana na ratiba yako.


MAHITAJI

🧚🏻‍♀️Parachichi nusu

🧚🏻‍♀️Asali kijiko kimoja

🧚🏻‍♀️Mafuta ya castor oil/Nazi/olive oil kijiko 1


JINSI YA KUANDAA

-Andaa parachichi toa maganda

-Kata vipande vidogo kulingana na uwezo wa blender yako, kisha saga kwa blender vizuri hadi usagike vizuri.

-Weka asali, kisha weka mafuta na mask/steaming yako iko tayari


JINSI YA KUTUMIA

-Paka mchanganyiko  huu kuanzia kwenye mzizi wa nywele hadi kwenye ncha ya nywele.

-Massage kuchanganya

-Vaa kofia yako ya plastic  kaa dk 30 mpaka 40 kisha osha nywele yako.


🥰PROTEIN TREATMENT

Hii unatakiwa kutumia mara1 kwa mwezi au mara1 kwa wiki 6.


MAHITAJI

🧚🏻‍♀️Parachichi nusu

🧚🏻‍♀️Kiini cha yai 

🧚🏻‍♀️Asali kijiko kimoja

🧚🏻‍♀️Mtindi au mayonisse 

🧚🏻‍♀️Mafuta ya castor oil/Nazi/olive oil kijiko 1


BAADA YA HAPO UNAFUATA PROCESS YA KUTENGENEZA KAMA STEAMING YA KAWAIDA.

Post a Comment

1 Comments

  1. Casino Action was first launched in 2004 and was later acquired by Casino Rewards. The firm is well known in the trade for proudly owning dozens of brands with licenses in the UK, Malta 점보카지노 and Kahnawake. This means gamers from many countries can get pleasure from the benefits of Casino Action. If you resolve to make a deposit here, you will be be} pleased with the great welcome promotion as much as} 1,500€ in bonuses. Owned by Digimedia, it's a sister website to veterans like Gaming Club and Jackpot City. Like each website from the family, All Slots is powered by Microgaming and the stay casino section by Evolution.

    ReplyDelete