Natural Bliss

105. SABABU SITA (6) KUU ZINAZOSABABISHA NYWELE KUKATIKA (HAIR BREAKAGE)

 🧚‍ Kukosa unyevu (Nywele kuwa kavu sana)

🧚‍ Kutumia kemikali/products zenye kemikali hatarishi

🧚‍ Kuvutwa sana wakati wa kusuka au kuhudumia nywele

🧚‍ Matumizi ya moto kupita kiasi

🧚‍ Matumizi ya vibanio au chupio zisizo rafiki kwa nywele

🧚‍ Kutumia njia isiyo sahihi kuchambua nywele/Improper detangling

 

 

🚩Nywele kukosa moisture/ unyevu kutoka kwa either mafuta au maji(hydration).

 

*CHA KUFANYA/SOLUTION*

-Spray nywele zako maji/Leave In conditioner paka mafuta ya maji na useal kwa kutumia shea butter.

Kama unahitaji shea butter kwa bei nafuu kabisa unaweza kuipata kwa kuwasiliana nasi Whatsapp/call: 0672765929

🚩Usizihangaishe nywele zako na kemikali, kuweka rangi nyingi au kuchanganya products nyingi zenye chemicals hatarishi.

 

🚩Usikaze nywele sana wakati wa kusuka, wala kuzivuta. Pia suka nywele ikiwa na mafuta sio kavu

 

🚩Punguza frequency ya kutumia moto kwa nywele, mara moja kwa mwezi or mara moja kwa wiki nane inatosha sana

 

🚩 Ukibana nywele usitumie rubber band au vitu vinayokaza sana nywele maana muda wa kutoa zitatoka na nywele zako. Tumia vibanio vyenye satin havina friction kubwa/Kamba ya viatu.

 Tuma neno ‘vibanio’ kwenye namba ya Whatsapp: 0672765929 ili kupata ushauri wa aina mbali mbali za vibanio vitakavyokufaa.

 

🚩 Detangling ni kuchambua nywele kabla ya kuzichana, ukizichana wakati zimefungamana na kavu lazima zikatike.

 

*CHA KUFANYA/SOLUTION*

Paka Leave in conditioner au nyunyizia/spray maji ndo uchambue nywele ili kuzuia kukatika. Pia tumia chanuo lenye meno makubwa.

Post a Comment

0 Comments