Natural Bliss

107. FAIDA ZA ALOEVERA NA MAFUTA YA NYWELE (MAFUTA YA MNYONYO/ HAIR OIL) KWENYE NYWELE



🌸Hii inatumika kwa nywele aina zote (All hair types)

🌸Kila mmoja anapaswa kuijaribu hii nyumbani maana ni rahisi, inafanya kazi vizuri na ni ya gharama nafuu sana.

JINSI YA KUANDAA

🍂Chukua aloe vera  gel yako ndani ya bakuli changanya na kiasi sawa cha Hair oil (mafuta ya maji ya nywele). 

🍂Koroga hadi upate ute usiotengana

🍂Paka kwenye nywele yote hadi ncha

🍂Vaa kofia na uache usiku mmoja. 

🍂Asubuhi Osha kwa maji pekee 

🍂Nyoosha nywele yako kwa uzi (African threading method ipo kwenye post zilizopita)

NB: Nimefanya hair treatments nyingi but this is the best. 

🌸Unaweza kutumia kama 👉🏽leave in conditioner, yani ukipaka kwenye nywele hauoshi na maji unaiacha hivyo hivyo. 

📌Inakupa moisture (unyevu nyevu)nzuri sana ambayo ni msingi wa ukuaji wa nywele yako

📌Inaimarisha nywele na wala hazikatiki, hakikisha unapaka nywele yote aloe vera +hair oil ndiyo uchane nywele. 

📌Pia kabla ya kusuka, unaweza kupakaa aloe vera gel na kuiacha at least for 30 minutes bila kuosha, ukichana nywele zinakua very smooth 🥰 na hazikatiki

📌Inang’arisha na kulainisha nywele (sababu kuna gel ya Aloe vera) 

📌Pia nywele yake itajaa mara tatu ya mwanzo (sababu ya kuna hair oil ambayo ni mchanganyiko wa mafuta mengi mazuri sana, yanayokuza, kujaza, kulainisha nywele na kuondoa mba na miwasho)

Kujipatia our magic hair oil: Whatsap/Call: 0672765929

Mils 120 = Tshs 7000

Mils 250 = Tsha 12,000

Post a Comment

0 Comments