Hellow,Mimi naitwa rose nmezaliwa na nywele rangi nyekundu ambazo zinaniondolea lah katika life langu nipeni njia ya kutatua tatizo langu ata aina ya mafuta ya kufanya nywele kuwa nyeusi 2
Hello, Rose pole kwa kuchelewa kujibiwa, kuna njia mbalimbali za kutumia ili kufanya nywele yako kuwa nyeusi, japo inaweza kuchukua muda kidogo lakini kadri muda unavyokwenda ndio zitakuwa zinabadilika, unaweza kutumia kahawa, majani ya chai, mustard oil, henna nk. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba: 0672765929
Kuwashwa kwa kichwa/Ngozi ya kichwa husababishwa na vitu vingi, inaweza kuwa baada ya kusuka ngozi ya kichwa huwa ni kavu sana (huipi unyevu) au anaekusuka anakukza sana au brand ya rasta unayotumia(kuna nyingine huwa zinawasha naturally) ndio maana wengine huwa wanazitreat kabla ya kuzitumia. Hivyo ni vyema kujua chanzo kabla ya kusolve tatizo.
4 Comments
Hellow,Mimi naitwa rose nmezaliwa na nywele rangi nyekundu ambazo zinaniondolea lah katika life langu nipeni njia ya kutatua tatizo langu ata aina ya mafuta ya kufanya nywele kuwa nyeusi 2
ReplyDeleteHello, Rose pole kwa kuchelewa kujibiwa, kuna njia mbalimbali za kutumia ili kufanya nywele yako kuwa nyeusi, japo inaweza kuchukua muda kidogo lakini kadri muda unavyokwenda ndio zitakuwa zinabadilika, unaweza kutumia kahawa, majani ya chai, mustard oil, henna nk. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba: 0672765929
DeleteSamahani mm nilisuka braids baada ya siku chache zikaanza kuniwasha nikafumua na kusuka tena na hiyohiyo siku zikawasha tena nifanye nn
ReplyDeleteKuwashwa kwa kichwa/Ngozi ya kichwa husababishwa na vitu vingi, inaweza kuwa baada ya kusuka ngozi ya kichwa huwa ni kavu sana (huipi unyevu) au anaekusuka anakukza sana au brand ya rasta unayotumia(kuna nyingine huwa zinawasha naturally) ndio maana wengine huwa wanazitreat kabla ya kuzitumia. Hivyo ni vyema kujua chanzo kabla ya kusolve tatizo.
Delete